Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, August 13, 2010

KUMBUKUMBU


FAMILIA ya Brigedia General, January Nyambibo inatoa shukrani kwa wote walioshiriki katika mazishi ya mpendwa wao aliyefariki Agosti 15, 2008 na kuzikwa Agosti 18 jijini Dar es Salaam.

Umetimiza miaka miwili tangu ulipotutoka unakumbukwa na watoto wako Husna, Misana, Mr & Mrs Malu Stonchi, Hamisa, Masha, Mkama, Bwire, Perus, Peter, mkeo Rukia Abdalah Kitogo na familia yote ya Nyambibo.

Sisi tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi
Bwana ametoa na bwana ametwaa.

Jina lake lihimidiwe
Amin

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...