Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, May 2, 2011

KAMBI YA ILALA YAMPA SAPOTI MBWANA KUMDUNDA MKENYA

Mbwana Matumla akiojiwa baada ya kutetea ubingwa wake jana


Mdau wa ngumi akimvisha mbwana wake kushoto ni kocha wa ngumi Habibu Kinyogoli ambaye anaendesha mafunzo hayo Ilala Dar es Salaam



Refarii Antoni Ruta Akimwesabia Gabrier Ochuang baada ya kupata kichapo cha haja



Damu nzito kuliko maja bondia mkongwe Rashidi Matumla (kulia) akimpatia maelezo mdogo wake Mbwana Matumla wakati wa pambano lake la kutetea Ubingwa wa UBO lililofanyika Dar es salaam jana Mbwana alishinda kwa point na kutetea vema rtaji lake kushoto ni kocha Habibu Kinyogori
Ufundi wa kutupiana makonde ukiendelea
Giblbert Ochieng akioneshana ufundi wa kutupa makonde na Mbwana Matumla jana

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...