Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, December 15, 2011

Airtel yapokea Cheti cha shukrani kwa kudhamini Semina ya Umaskini Fullstop


Afisa Masoko wa Global Publisher, Benjamini Mwanambuu (kushoto) akimkabidhi cheti cha kushiriki na kudhamini Semina ya Umaskini Fullstop, Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde, cheti hicho cha shukurani kimetolewa kwa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa kudhamini semina ya umaskini fullstop na burudani ya Muziki iliyofanyika Mkoani Arusha mwishoni mwa mwenzi Novemba na kuhudhuriwa na wakazi wengi wa jijini hapo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...