Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, February 15, 2012

MASHINDANO YA KUTAFUTA TIMU YA TAIFA YA MASUMBWI YAANZA LEO

Mabondia peter Stanley kushoto akipambana na Doto Shoka wakati wa mashindano ya kutafuta mabondia watakaoliwakilisha taifa katika mashindano ya kufunzu Olimpic mapema hivi karibuni (picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/)

Baadhi ya mashabiki waliojitokeza kuangalia masumbwi

Mabondia Fabian Gaurdence (kushoto) na Iddi Pialali gua timu ya Taifa Gaurdence alishinda kwa pointwakioneshana ufundi wa kutupa masumbwi wakati wa mashindano ya mchujo kucha

Mpambano ukiendelea ngumi mawe masumbwi makonde kwa kwenda mbele

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...