Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, March 15, 2012

FREE MEDIA QUEENS KUTUPA KARATA NYINGINE KWA TBC MICHUANO YA NSSF CUP 2012


Hiki ndiyo kikosi cha Free Media Queens kitakachoshuka dimbani Machi 15 majira ya saa kumi na nusi alasiri katika viwanja vya TCC Chang'ombe.

Kikosi hiki kinaundwa na wachezaji kama
Amana Nyembo (GK), huku Clezencia Tryphone(C) ‘Tasha’ Efracia Masawe(GS), Hellen Ngoromela(WD), Vicky Kombe(WA), Hellen Mwilu(GA) pamoja na Ratifa(GD)

Khadija Kalili (GS) a.k.a Messi , Irene Mark, Asha Bani, Marietha Mkoka,
Wengine ni Efracia Masawe(GS), Hellen Ngoromela(WD), Vicky Kombe(WA), Hellen Mwilu(GA) pamoja na Ratifa(GD).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...