Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, March 15, 2012

JK AFUNGUA WARSHA YA MADAKTARI KINYWA/MENO NCHINI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wakati Rais wa chama cha madaktari wa Kinywa na Meno Nchini Dk. Rachel Mhavile akionesha kadi ya uanachama wa heshima ya chama hicho ambayo Rais Kikwete akitunukiwa wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma. Jumla wa wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano huo wa siku tatu unaofanyikahoteli ya Courtyard jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...