Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, March 16, 2012

Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete mgeni rasmi katika siku ya utepe mweupe Tanzania

Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (mwenye traki suti akipokea maelezo kutoka kwa Waziri wa Afya na Usatawi wa Jamii leo jijini Dar es Salaam Dkt. Hadji Mponda kabla ya kuanza matembezi ya kuadhimisha siku ya utepe mweupe Tanzania.-Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Mwenekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete -alievaa traki suti- pamoja na watendaji wengine wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii pamoja na taasisi mbalimbali zinazoshughulikia mpango wa uzazi salama na afya za watoto wakishiriki kwenye matembezi ya kuadhimisha utepe mweupe nchini . (kulia ni Mkuu wa Mkoa wa DSM- Said Sadick.- Picha na Mwanakombo Jumaa -MAELEZO
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete akikata utepe kuzindua kitabu cha uzazi salama leo jijini Dsm wakati wa maadhimisho ya suku ya utepe mweupe Tanzania (kulia ni Mkuu wa Mkoa wa DSM Said Mecky Sadick. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete akipata maelezo katika banda la PSI leo jijini DSM kuhusu shughuli za taasisi hiyo wakati wa maadhimisho ya siku ya utepe mweupe Tanzania. - Picha na Mwanakombo-Jumaa-MAELEZO.
Brass bend ya Magereza ikiongoza maandamano hayo.
wanafunzi wakiwa na mabango

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...