Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, March 14, 2012

TABORA MARATHON 2012 YAFANA

Baadhi ya pikipiki zilizotumika katika mbio za Tabora Marathon hapa kabla ya mbio kuanza. (Picha Zote kwa hisani ya Kamati ya Tabora Marathon 2012).
Pichani kulia ni Mshauri wa Ufundi wa Mbio za Tabora Marathon ambaye pia ni Mhariri wa Habari za Michezo Gazeti la Tanzania Daima Tulo Chambo na kushoto ni Meneja Masoko Kampuni ya Kishen Enterprizes pia wasambazaji wa pikipiki za aina ya TOYO Seraphine Baraka .
Washindi wa Mbio za Tabora Marathon wakiwa katika picha ya pamoja hapa wako katika eneo linalofahamika kama Community Centre sehemu iliyomtoa machozi Rais wa Kwanza wa Tanzania wakati akidai uhuru kutoka kwa wakoloni ambapo pia pamejengwa Sanamu ya kumbukumbu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Fatma Mwassa akizungumza kabla ya kutoa zawadi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...