Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, April 24, 2012

WAREMBO MISS CHANG'OMBE WAANZA KUPEWA SOMO


Warembo wanmaotarajia kuwania umalkia wa
mashindano ya Miss Chang'ombe, wakiwa katika
mazoezi ya awali jana kwenye viwanja vya Hoteli ya
Lamada, Dar es Salaam. Mazoezi ya kukata na shoka
yataanza rasmi Mei 1, mwaka huu na mashindano
itakuwa Juni 9, mwaka huu..
 Mwalimu wa warembo hao,Vumilia Willbrod
akiwaelekeza jinsi ya kusimama walipokuwa wakipiga
picha ya pamoja wakati wa mazoezi hayo.
Mratibu wa mashindano hayo, Thom Chilala
(kushoto), akitoa somo kwa baadhi ya warembo
watakaoshiriki Miss Chang'ombe.
 Mwalimu Msaidizi wa mashindano hayo, Teddy
Chilala (kulia)akitoa maelekezo kwa warembo kuhusu
mavazi yanayotakiwa kuvaliwa wakati wa mazoezi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...