Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 7, 2012

AFA KWA KUNASWA NA UMEME AKIFAGIA


Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, wakitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa mfanyakazi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI),  marehemu Upendo Mdegela akitoa heshima za mwisho katika Hospitali ya Muhimbili kabla ya mazishi yaliyofanyika makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam juzi. Upendo alikufa baada  ya kunaswa na umeme alipokuwa akifanya usafi nyumbani kwake Mwananyamala Kisiwani. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...