Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 7, 2012

AIRTEL YASHIRIKIANA NA UNESCO KUANZISHA RADIO ZA JAMII NCHINI


Afisa mradi wa habari na mawasiliano UNESCO Yusuph Al Amin akikabithi radio ya solar kwa mkazi wa kijiji cha Ololosokwan wakati wa ziara ya kutembelea mradi wa Radio jamii ulioanzishwa chini ya udhamini wa Airtel kwa kushirikia na UNESCO, Radio zaid ya 200 zilikabithiwa kwa wakazi wa kijiji hapo, uzinduzi wa Radio hii
utafanyika mwishoni mwa mwenzi juni,
wafanyakazi wa Airtel Dua Kazimoto na Mercy Nyange wakiwa katika picha na wanawake wafanyabiashara wa vikundi vidogovidongo wa kijiji cha Ololosokwani wakati wakati walipotembela mradi wa radio unotegemea kuzinduliwa mwishoni mwa mwenzi Juni
Afisa mradi wa habari na mawasiliano UNESCO Yusuph Al Amin akionyesha jinsi gani radio ya solar inavyofanya kazi mara baada ya kukabithi Radio 200 kwa wakazi wa kijiji cha Ololoskwan wakati wa ziara ya kutembelea mradi wa Radio jamii ulioanzishwa chini ya udhamini wa Airtel kwa kushirikia na UNESCO, Ololosokwani Radio inategemea kuzinduliwa mwishoni mwa mwenzi juni, wakishuhudia kushoto ni mwakilishi wa Airtel Ahmed Juma katika ni Yannick Ndoinyo Mkurugenzi mtendaji IrkiRamat Foundation (RAMAT)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...