Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, June 4, 2012

DK.SHEIN AKUTANA NA IDARA MAALUM WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS KUJADILI UTENDAJI KAZI.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Idara Maalum  katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Idara hizo, katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya watendaji wa Ofisi za Idara Maalum katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,wakiwa katika mkutano chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekitiwa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,mkutano huo unahusu masuala mbali mbali ya kiutendaji, katika idara hizo ukumbi wa Ikulu Mjini  Zanzibar.   

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...