Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, June 15, 2012

FAMILIA YA MASUMBWI ILIPOSHILIKI KATIKA TUZO ZA TASWA


 
Mkurugenzi wa African Stars Entertainment (ASET), Asha Baraka akikabidhi tuzo kwa Mwanamichezo Bora wa Ngumi za Kulipwa, Nasib Ramadhan.

 
 
Mzee Ally Matumla  kulia akimkabidhi Kaburu tuzo ya Emmanuel Okwi

. Familia ya ndondi kutoka kushoto ni promota Kaike Siraju,bondia Ramadhani Kidunda, Katibu Mkuu wa BFT Makore Mashaga na Rais wa PST Emanuel Mlundwa
 



Wadau wa ndondi  wakifatilia tuzo za mwanamichezo bora kushoto ni Kocha wa Ngumi maarufu kama Mzazi, Promota wa masumbwi Lucas na Rais wa machezo huo Yasini Abdallah

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...