Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 21, 2012

GRAND MALT MKOANI IRINGA


Maneja masoko wa TBL Fimbo Butallah akizungumza wakati wakutoa tuzo
 Washindi wa Tuzo za Excel With Grand Malt kwa vyuo vya Elimu ya Juu mkoani Iringa wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni Rasmi kwenye utoaji wa Tuzo hizo,Mkuu wa Wilaya ya Iringa,Mh. Leticia Warioba (wa tatu toka kushoto walio mstari wa mbele) na Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania,Fimbo Butallah (wa nne toka kushoto walio mstari wa mbele) ambao ndio wadhamini wakuu wa Tuzo hizo kupitia kinywaji kisicho na kilevi cha Grand Malt.Sherehe ya utoaji wa tuzo hizo ilifanyika kwenye viwanja vya Chuo kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa
 Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania,Fimbo Butallah akivuta udongo shimoni wakati wa zoezi la Upandaji Miti katika eneo la Chuo Kikuu Kishiriki cha Mkwawa,Mkoani Iringa jana ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa kauli ya Serikali ya Utunzaji wa Mazingira katika maeneo mbali mbali ya nchini.anaeshuhudia ni Afisa Mazingira wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Mkwawa,Athuman Said.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...