Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 12, 2012

H. BABA APAGAWISHA TAMASHA LA TIGO WILAYANI BABATI


Msanii wa muziki wa kizazi kipya H,Baba akifanya mambo yake wakwati alipotoa burudani kwenye promosheni ya tamasha la Tigo ilofanyika katika viwanja vya wilayani Babati ambapo  wateja wa Tigo walijipatia zawadi mbalimbali zikiwemo simu, Tishirt na kofia. Ziara hiyo ya Tigo itanayoendelea  kufanyika katika mikoani mbalimbali.
Baadhi ya watu kutoka seemu mbalimbali  wilayani Babati wakifuatilia kwa umakini burudani iliyokuwa ikitolewa msanii wa mziki H Baba.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...