Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 6, 2012

HARAMBEE YA KUCHANGIA TAASISI YA MKAPA HIV/AIDS



Rais mstaafu, Ali Hassani Mwini akimkabidhi Picha ya marais wanne Naibu Meneja Mkuu wa Kampuni ya Pan African Energy Tanzania Limited, William Chiume baada ya kuinunua picha hiyo kwa Sh Milion 13 wakati wa Harambee ya kuchangia Programu ya Mkapa Fellows inayoendeshwa na kwa Taasisi ya Mkapa/HIV iliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi usiku.
 Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiwa na marais wastaafu, Benjamini Mkapa (kushoto) na Ali Hassan Mwinyi wakati wa Harambee ya kuchangia Programu ya Mkapa Fellows inayoendeshwa na Taasisi ya Mkapa HIV/AIDS iliyofanyika Dar es Salaam kwenye Hotel ya Kempinsik Dar es Salaam.
Rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi akiina picha ya kuchora ya marais wanne wakati wa Harambee ya kuchangia Programu ya Mkapa Fellows inayoendeshwa na Taasisi ya Mkapa HIV/AIDS iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...