Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, June 11, 2012

MAKINDA YA AZAM YAKILISHWA 'NGUVU' CHAMAZI






Kocha wa timu ya vijana ya Azam FC, Iddi Cheche ambaye ni beki wa zamani wa Sigara (sasa Moro United) na Kariakoo United ya Lindi, akiwanoa kwa mazoezi ya kujenga mwili wachezaji wa timu hiyo katika gym ya timu hiyo iliyopo ndani ya Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jioni ya leo.
1. Mwinyi Hamadi kushoto na Saleh Abdallah
2. Deogratius Nemes
3. Abdul Iddi Machuppa, mdogo wake Athumani Machuppa
4. Kocha Cheche akimuelekeza Mwinyi Hamadi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...