Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 19, 2012

MAMA WEMA ASEMA MAGAZETI YANAUZWA KUPITIA MGOGO WA WEMA SASA KULA NAO SAHANI MOJA PINDI WATOAPO PICHA MBELE

Mama wa msani Wema Sepetu Mariam Sepetu, kulia ameibuka na kuseka kuwa yupo tayali kupanda mahakamani pindi popote magazeti ya Udaku yatakapo mwandika Wema akizungumza na Kipindi cha Take One cha Clous TV ameweka wazi kuwa yupo tayari wakati wowote kupelekana Mahakama pindi gazeti lolote litakalo mtoa Weka katika mambo mabaya na amesisitiza kuwa jamii impende mwanae na kuwambia watu wa magazeti ya Udaku kuwa wamuache mwanae kwa lolote lile juu ya mwanae na kumtaja mmoja wa waandishi wa habari wa Global akimtaja Shakolo na kusema magazeti yote yanafanya biashara kupitia mgongoni wa  mwanae wema ambapo amedai kula nao saani mojapindi watakapotoa picha za mwanae katika kurasa za mbele za magazeti yakiuza kupitia yeye mtoto wake

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...