Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, June 3, 2012

Mamia ya wananchi wamejitokeza kwa wingi kwenye mbio za Susan G.Komen. kumaliza vita dhidi ya maradhi ya Saratani ya Maziwa Susan G.Komen. 2012!



Wananchi hao wakiwemo waTanzania walikusanyika katika viwanja vya Down Town Washington DC siku ya Jumamosi June,2,2012 katika kuitikia wito wa kuunga mkono wanawake ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa saratani ya maziwa, utafiti na elimu dhidi ya ugonjwa huo
Rais wa Jumuia ya waTanzania DMV Mh. Iddi Sandaly, wakwanza kushoto, Waheeda Margaret Gathesha, Chief wa swahilivilla Abou Shatry, Aunt Rehema, pamoja na Salma Jay Jay pia alikuwepo katika matembezi ya kupigana na ujongwa wa saratani ya maziwa hapa Washington DC.
Wazawa wa kitanzania wanaoishi nchini marekani wakiwa katika matembezi ya kupiga vita ogonjwa wa saratani ya maziwa mapema leo jumamosi June,4,2011 ndani ya washington D.C nchini marekani.
Kina dada wakiwa katika matembezi ya kupiga vita ogonjwa wa saratani ya maziwa siku ya Jumamosi June,2,2012 ndani ya washington D.C nchini Marekani

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...