Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, June 10, 2012

MAONYESHO YA TANZANIA HOMES EXPO YAFANYIKA KWA MARA YA KWANZA MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM


Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Yusuph Mwenda (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa maonyesho ya wadau wa kukopesha nyumba (Tanzania Homes Expo) kupitia benki mbalimbali nchini ambapo wananchi wanaonyeshwa urahisi wa kuweza kukopa nyumba maonyesho hayo yamefanyika leo katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam Kushoto ni Mkurugenzi wa Uandaaji wa maonyesho hayo Tanzania Homes Expo Bw. Zenno Ngowi.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Yusuph Mwenda, akipewa maelezo katika banda la Benki ya Akiba Commercial wakati akitembelea Kampuni zilizoshiriki katika maonyesho hayo. 
Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Yusuph Mwenda, akikagua baadhi ya makabrasha katika banda la Shirika la nyumba Tanzania NHC kushoto ni Afisa masoko wa Shirika hilo na mmiliki wa blogu ya mitindo ya Misspopular Mariam Iddi na kulia ni Afisa mauzo mwandamizi wa shirika la nyumba Tanzania (NHC) Bw. Emanuel Lymo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...