Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 21, 2012

MAREHEMU WILLY EDWARD AAGWA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA


 Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda, akiongoza waombolezaji, kubeba Jeneza la aliyekuwa Mhariri wa Gazeti la Jambo Leo, Marehemu Willy Edward, wakati wakielekea mazikoni baada ya shughuli ya kuagwa kukamilika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari, wakishiriki kubeba Jeneza la aliyekuwa Mhariri wa Gazeti la Jambo Leo, Willy Edward Ogunde, aliyefariki mwishoni mwa wiki mjini Morogoro, akiwa katika shughuli za kikazi. Marehemu Willy ameagwa rasmi leo mchana katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

1 comment:

  1. I always used to read article in news papers but now as I am a
    user of internet so from now I am using net for posts, thanks to
    web.

    Also visit my homepage; social media integration tools

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...