Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, June 23, 2012

MATUKIO BUNGENI DODOMA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Mbunge wa Simanjiro,Christopher Ole Sendeka (kushoto) na Mbunge wa Same Mashariki, Anna Kilango Malecela kwenye  viwanja  vya Bunge Mjini Dodoma, Juni 22, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Mbunge  Bumbuli, January Makamba (katikati)  na Mbunge wa Singida, Mohamed Dewji (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 22, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Simanjiro,Christopher Ole Sendeka (kushoto)  na Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 22, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa  Simanjiro, Christopher Ole- Sendeka (kushoto) na Mbunge wa Gando,  Khalifa Suleiman Kahlifa  (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini  Dodoma Juni 22,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...