Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 5, 2012

MKURUGENZI WA BENCHMARCK PRODUCTION AINADI EBSS NDANI YA TIMES RADIO JIJINI DAR




 Mkurugenzi wa Benchmarck Production Madam Ritah Paulsen akizungumza katika mahojiano na Dida wa Mchops hayupo pichani  mtangazaji wa Times Radio wakati alipozungumzia maadalizi ya mchakato wa kuwapata washiriki watakaoshindana katika shindano la Epique Bongo Star Search katika mikoa mbalimbali nchini, zoezi la kusaka washiriki hao linaazia mkoani Dodoma Juni 15 katika Ukumbi wa Royal Village, katika picha kulia ni Awaichi Mawala kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Zantel ambao ndiyo wadhamini wa shindano hilo.
Mkurugenzi wa Benchmarck Production Maadam Ritah Paulsen, Awaichi Mawala kulia  kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Zantel na Dida wa Mchops  mtangazaji wa Times Radio wakishoo love katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa mahojiano hayo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...