Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 6, 2012

MKUTANO WA MCT NA WAHARIRI


 Mhariri mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima Absalom Kibanda akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa kwanza wa mwaka wa mashauriano kati ya baraza la habari na wahariri wa vyombo vya habari wenye lengo la kuimarisha weledi na uwajibikaji wa taalauma ya habari Tanzania katika ukumbi wa hoteli ya Nashera Morogoro.
 Mhariri mtendaji wa gazeti la Nipashe, Jose Kwayu akielezea jambo katika mkutano wa kwanza wa mwaka wa mashauriano kati ya baraza la habari na wahariri wa vyombo vya habari wenye lengo la kuimarisha weledi na uwajibikaji wa taalauma ya habari Tanzania katika ukumbi wa hoteli ya Nashera Morogoro.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...