Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, June 3, 2012

Mkuu wa Mkoa wa Tabora azindua Tamasha la Mtemi Milambo



Mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe.Fatma Mwassa amezindua Tamasha la ngoma za utamaduni la kila mwaka liitwalo Mtemi Milambo leo hii tarehe 1/6/2012 katika uwanja wa shule ya Uyui mkoani Tabora.
Katika Picha Kulia Mkuu wa mkoa wa Tabora akirusha upinde ishara ya uzinduzi wa Tamasha hilo,pembeni yake kushoto ni Bwana.Amon Mkoga Mkurugenzi Mtendaji wa Chief Promotions ambao ndiyo waandaaji wa Tamasha hilo.

Pichani ni Mkuu wa mkoa mhe.Fatma Mwassa akirusha mshale juu kama uzinduzi rasmi wa Tamasha hilo pembeni ni Chief Promotions MD Bw.Amon Mkoga

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...