Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 14, 2012

MSTAHIKI MEYA WA ILALA JERRY SILAA ZIARANI FINLAND


Mstahiki meya wa manispaa ya Ilala(Mh.Jerry Silaa) akipata maelezo toka kwa Bw.Ronny Snellman wa Kampuni ya utengenezaji wa nyama ya Snellman alipotembelea machinjio yao yaliyopo katika mji wa Jakobstad.
  Wengine katika picha ni Afisa biashara Bw. Nicas na Afisa mifugo Bw. Juma mwengine ni Bw. Stefan Jungell wa kampuni ya Kosek amabayo ni kampuni ya maendeleo ya jiji la Kokkola. Halmashauri ya manispaa ya Ilala imeunga udada na jiji la Kokkola Finland ambalo linaisaidia Ilala katika maeneo ya utawala bora,biashara ,usindikaji matunda,usindikaji maziwa,nishati mbadala,utengenezaji wa boti na usafi wa mji.
Ujumbe wa mstahiki Meya unajumuisha Mhe.Godwin Mbaga ambaye anaratibu ushirikiano huu katika ofisi ya meya,Bw.Sigfid Valentine ambaye ni mkuu wa Idara ya uchumi na mipango wa halmashari na mratibu wa ushirikiano,Bi.Tabu Shaibu afisa uhusiano,Afisa mifugo Juma,Afisa biashara Nicas na Afisa Teknohama Mat

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...