Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, June 3, 2012

MTANANGE WA STARS VS IVORY COAST


 Beki wa timu ya soka ya taifa (Taifa Stars), Aggrey Morris (kulia) na kiungo Shaaban Nditi (kushoto) wakijaribu kumzuia mshambuliaji wa kimataifa wa Ivory Coast, Didier Drogba (katikati), wakati wa mchezo wao wa jana wa mchujo kuwania nafasi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil, mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Felix Houphouet-Boigny mjini Abidjan. Ivory Coast ilishinda mabao 2-0. (PICHA NA MPIGAPICHA WETU)

 Didier Drogba (kushoto) akisalimiana na John Boko wa Taifa Stars baada mechi kumalizika
 Drogba akifanya vitu vyake

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...