Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 19, 2012

MWANAMAMA APATA KICHAPO KWA KUDAIWA KUKWAPUA SIMU


 Mwanamke ambae jina lake halikuweza kufaamika alijikuta akiambulia kipigo kutoka kwa wananchi baada ya kutuhumiwa kumchomolea mama mmoja simu ya kokononi maeneo ya mtaa wa Kongo jijini Dar es salaam.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE
                                  Hapa akichukua kichapo kutoka kwa wanchi wenye hasira kali
.
Hapa akikimbia baada ya kichapo kilichomtia adabuhttp://www.fullshangweblog.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...