Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, June 11, 2012

NAPE AMJULIA HALI SELASINI


 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye akimjulia hali, Mbunge wa Rombo kwa tiketi ya Chadema, Joseph Selasini, alipomtembelea wodini, katika hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam. Selasini anapatiwa matibabu katika hospitali hiyo baada ya kuhamishwa kutoka hospitali ya KCMC ambako alikuwa akitibiwa baada ya kupata ajali ya gazri hivi karibu.
Selasini na Nape wakifurahia jambo baada ya kutaniana katika masuala ya siasa. Picha: Daily Nkoromo Blog

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...