Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, June 16, 2012

PROF. IBRAHIM LIPUMBA AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI DODOMA LEO


Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Haruna Lipumba(kulia) akiongea na waandishi wa habari leo kwenye eneo la Bunge mjini Dodoma kuhusu mapungufu aliyoyaona katika Bajeti ya Serikali ya 2012/13 .
 
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Haruna Lipumba(kulia) akiongea na waandishi wa habari leo kwenye eneo la Bunge mjini Dodoma kuhusu mapungufu aliyoyaona katika Bajeti ya Serikali ya 2012/13 . Mwingine ni Naibu Mkurugenzi wa Mipango , Uchaguzi na Bunge wa Chama cha Wananchi(CUF) Shaweji Mketo(kushoto).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...