Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 12, 2012

SOKO LA MACHINGA COPLEX LAPATA UWONGOZI MPYA


Mwenyekiti wa soko la machinga Complex Bw.Abubakari Rakeshi (katikati)akiongea katika mkutano wa wafanyabiashara wa soko hilo leo jijini Dar es salaam katika kutambulisha uwongozi upya wa soko hilo na kuhakiki wafanyabiashara wangapi walioko ndani ya soko hilo na wangapi hawapo  (kushoto)Mwenyekiti msaidizi wa soko hilo Bw.Geradi Mpagama.(na wakwanza kulia) Meneja wa jengo la machinga COMPLEX Bw.Nyamsukura Masondore,mkutano huo ulifanyika katika soko la machinga COMPLX leo.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE).

Meneja wa jengo la machinga COMPLEX( wakwaza kulia)Bw.Nyamsukura Masondore akijibu maswali kutoka kwa wafanyabiashara wa soko hilo.

               Wafanyabiashara wa soko la machinga Coplex wakiwa katika mkutano huo.http://www.fullshangweblog.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...