Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 12, 2012

Spika wa Bunge akutana na Balozi wa marekani na Waziri wa Maji Ofisini kwake leo


Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika Mazungumzo na balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Alfonso Lenhardt alipo mtembelea Ofisini kwake Dodoma leo
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimsikilza kwa Makini Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Prof. Jumanne Maghembe alipo mtembelea Ofisini kwake Dodoma leo
Naibu Spika wa Bunge akiwa katika amzungumzo na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Prof. Jumanne Maghembe alipo mtembelea Ofisini kwake Dodoma leo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...