Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 6, 2012

SUPER D AENDEREA KUWAFUA MABONDIA WA KAMBI YA ILALA KWA AJILI YA MPAMBANO WA KUMI BORAJUNE 15

 Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  kulia akimwelekeza jinsi ya kutupa makonde bondia Said Mtitu wakati wa mazoezi yanayoendelea katika Kambi ya Ilala Dar es salaam jana  ya kujitaharisha na mashindano ya kumi Bora yatakayofanyika june 15 katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  kushoto akimwelekeza jinsi ya kutupa makonde bondia Said Mtitu wakati wa mazoezi yanayoendelea katika Kambi ya Ilala Dar es salaam jana  ya kujitaharisha na mashindano ya kumi Bora yatakayofanyika june 15 katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...