Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, June 1, 2012

TAIFA STARS WAKIJIFUA MJINI ABDIJAN IVORY COAST JANA

Wachezaji wa timu ya Soka ya Taifa ‘Kilimanjaro Taifa Stars’ wakijifua kwenye Uwanja wa wa kituo cha Michezo mjini Abidjan juzi kujiandaa na mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Ivory Coast inayotarajiwa kufayika leo kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny.
(Picha kwa hisani ya Bongostaz)
Wachezaji wa timu ya Soka ya Taifa ‘Kilimanjaro Taifa Stars’ wakijifua kwenye Uwanja wa wa kituo cha Michezo mjini Abidjan juzi kujiandaa na mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Ivory Coast inayotarajiwa kufayika leo kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...