Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 7, 2012

TIGO Yaendelea kupagawisha wateja wake wa Mikoani. Safari hii yawapa Burudani wateja wa Babati.

 Baazi ya wananchi wakifatiria burudani  za bure katika uwanja wa wazi toka kampuni ya Tigo iliwapatia wateja burudani kutoka kwa mwanamuzik H.Baba. Pia wateja walipata fursa ya kupata huduma mbalimbali kutoka kwenye vibanda vya Tigo vilivyopatikana viwanjani hapo. Zawadi kama T-shirt za Tigo, simu na kofia zilitolewa katika tamasha hilo.
Msanii H Baba akiwashindanisha watoto kucheza kiduku ambapo mshindi arimpatia furana ya tigo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...