Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 6, 2012

tIGO YAZINDUA HUDUMA MPYA

Huduma hiyo ambayo imezinduliwa na Afisa Uhusiano wa Kampuni hiyo Alice Maro, itakuwa ni huduma ya kununua vifurushi vinavyoendana na mahitaji ya mteja. Kuna vifurushi vya siku wiki na mwezi pamoja na kufanya uamuzi wa matumizi ya huduma mbalimbali zinazoendana na mtandao.
Mteja anaweza kujiunga kwa kupiga *148*01# na wateja kupata vursa ya kuchagua muda wa vifurushi.Boksi' ambayo itawawezesha wateja wa mitandao inernet na ya kijamii yani barua pepe, Facebook, twitter na mingineyo katika harakati za kuboresha upatikanaji wa habari kwa jamii.

Huduma hiyo ambayo imezinduliwa na Afisa Uhusiano wa Kampuni hiyo Alice Maro, itakuwa ni huduma ya kununua vifurushi vinavyoendana na mahitaji ya mteja. Kuna vifurushi vya siku wiki na mwezi pamoja na kufanya uamuzi wa matumizi ya huduma mbalimbali zinazoendana na mtandao.
Mteja anaweza kujiunga kwa kupiga *148*01# na wateja kupata vursa ya kuchagua muda wa vifurushi.
 

Tigoilianzishahudumanabidhaazamtandaomwaka 2011 naimeendeleakuzingatiamahitajiyawateja wake. Kwakuzingatiahilo, Tigoimeanzishahudumampyayamtandaoijulikanayokama: ‘Tigo Internet Mega Boksi,’ kusaidiawatejakuwakaribunahabarizaulimwengukatikaulimwenguhuuwenyeteknolojiainayokuwasikuhadisiku.

Vifurushihivivipyavyamtandaovitawawezeshawatejakununuavifurushivinavyoendananamahitajiyao. Mtejaanawezakununuakifurushicha siku, wiki aumwezi, pamojanakufanyauchaguziunaoendananamatumiziyahudumambalimbalizakimtandaoanayoyata. Vifurushivyotevinajumuishamatumiziyabaruapepe, Facebook, Twitter nakuperuzikwenyemtandaobure. Vifurushivyotenivyakasiisiyonaukomo.

“Tumesikilizamahitajiyawatejawetunakutathminimahitajiyao. Tumewaleteavifurushihivirahisiilikuwezeshahudumazinazotumiwanawatejawengikuwaburenazisizonakikomo” alisema Alice Maro, AfisaUhusianowaTigo.
JinsiyaKujiunga:

Kwakupiga *148*01#  watejawatapatafursayakuchaguamudawavifurushiwanavyohitaji, inawezakuwakwasiku, wiki au mwezikutegemeananamatumiziyao. Watumiajiwa modem zaTigowanawezakununuavifurushihivikwakutumiaprogramumbalimbalizinazopatikanakwenye modem zaTigo. Beizinaanziash. 450 kwakifurushi cha siku.

Kuhusu Tigo:

Tigo ni mtandaowa simuzamkononi wa kwanza Tanzania, ulianzabiasharamwaka 1994 na ni mtandaowasimu Tanzania wenyeubunifuwahaliyajuunabeinafuukupitazotenchiniunaotoahudumakatikamikoa 26, Tanzania Bara na Zanzibar. 

Tigo ni sehemuya Millicom International Cellular S.A (MIC) na hutoa hudumazasimuzamkononikwagharamanafuunainayopatikanamaeneomengikiurahisikwa watejazaidiya milioni 43 katika masoko 13 yanaoibukaAfrika na AmerikayaKusini.

Kwataarifazaidi tembeleawww.tigo.co.tz

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...