Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, June 8, 2012

TIMU YA GAMBIA YAJIFUA KATIKA UWANJA WA KARUME


Timu ya Gambia ikiwa mazoezini katika uwanja wa karume jijini dar es salaam jioni hii kwa ajili ya mechi ya Timu ya Taifa Star katika uwanja wa Taifa jumapili  jijini dar es salaam.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Wachezaji wa timu hiyo wakijifua kwa kuchezea mpira wa pasi fupifupi kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es salaam leo jioni.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...