Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, June 15, 2012

Ujumbe wa Wakuu wa Vyuo vya China wakutana na Dk. Shein


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe wa Wakuu wa
Vyuo Vikuu vya China, Dk.Jiang Bo,wakati ulipofika Ikulu Mjini
Zanzibar kuonana na Rais   leo       [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Ujumbe wa Wakuu wa Vyuo Vikuu vya
China, unaongozwa na Dk.Jiang Bo,(wa tatu kushoto) wakati ulipofika
Ikulu Mjini Zanzibar kuonana na Rais na kuzumza nao leo.     [Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...