Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 14, 2012

UN WAJITOLEA KUCHANGIA DAMU SALAM KUADHIMISHA KILELE CHA UCHANGIAJI DAMU DUNIANI


 Charles Lutandula wa WHO akifanyiwa vipimo vya awali na Mtaalamu kutoka mpango wa Taifa wa Damu Salama Bi. Edith Senga, kabla ya kuchangia damu,wakati wa zoezi hilo lililofanyika leo jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya uchangiaji damu duniani. 

Mshauri Mkuu wa Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Christopher  John Ozga (kushoto) akiwa katika zoezi la kuchangia damu wakati wa kilele cha maadhimisho ya uchangiaji damu duniani. Aliyesimama ni Ofisa kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama Bw. Deochris Kaimukilwa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...