Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 6, 2012

VIONGOZI WA BENDI ZA DANSI WAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU KUTOPIGWA KWA NYIMBO ZAO RADIONI NA TV


Kiongozi wa Bendi ya Muziki wa dansi ya Extra Bongo, Ally Choki (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu mkutano utakao husisha bendi mbalimbali na wadau wa muziki huo wenye lengo la kuinua wanamuziki chipukizi kupitia vyombo vya habari hususani TV na Radio na masuala mengine. Kushoto ni mmoja wa kiongozi wa bendi ya Njenje, John Kitime na Meneja wa bendi ya Mapacha watatu, Khalid Chokoraa. (PICHA NA DOTTO MWAIBALE)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...