Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 6, 2012

Wafanyakazi na Wateja wa Barclays Washiriki kuchangia damu jijini Dar es Salaam


Baadhi ya wafanyakazi na wateja wa benki ya Barclays  jijini Dar es Salaam , leo wameshiriki katika kampeni ya uchangiaji damu kwa ajili ya Mpango wa Taifa wa Damu Salama, kampeni iliyoandaliwa na benki hiyo ili kusaidia kuboresha afya ya kina mama na watoto nchini. Pichani, ni Dr Abdu Juma wa Wizara ya Afya na Ushawi wa Jamii pamoja na wateja wengine wa Barclays wakishiriki katika kampeni ya uchangiaji.

 Dickson Joseph akichangia damu katika mpango huo zoezi hilo limefanyika leo jijini Dar es salaam.
 Abdu Juma, Paulo Anthon na Elisante John wakichangia damu katika zoezi hilo lililofanyika leo jijini Dar es salaam.
Zoezi hilo likindedelea.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...