Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 5, 2012

WAJASILIAMALI 11,WAKABIDHIWA RUZUKU ZA SAFARI WEZESHWA JIJINI MBEYA


  Meya wa Manispaa ya Mbeya, Athanas Kapunga(kulia) akimkabidhi Hellen Mwanguku mashine ya kuwokea mikate baada ya kufuzu kupata ruzuku za Safari Wezeshwa,makabidhiano hayo yalifanyika Viwanja vya CCM Iloma Mjini Mbeya mwishoni mwa wiki.Kushoto ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
  Meneja mauzo wa Kanda ya nyanda za Kusini, Raymonnd Degela akizungumza na Wajasiliamali,wageni waalikwa na wakazi wa Mbeya wakati wa hafla ya kukabidhi ruzuku kwa wajasiliamali wa Safari Wezeshwa katika Uwanja wa CCM Ilomba Mbeya mwishoni mwa wiki.
  Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akizungumza na Wajasiliamali,wageni waalikwa na wakazi wa Mbeya wakati wa hafla ya kukabidhi ruzuku kwa wajasiliamali wa Safari Wezeshwa katika Uwanja wa CCM Ilomba Mbeya mwishoni mwa wiki.
  Meya wa Manispaa ya Mbeya, Athanas Kapunga(kulia) akizungumza na Wajasiliamali,wageni waalikwa na wakazi wa Mbeya wakati wa hafla ya kukabidhi ruzuku kwa wajasiliamali wa Safari Wezeshwa katika Uwanja wa CCM Ilomba Mbeya mwishoni mwa wiki.Katikati ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo
  Meya wa Manispaa ya Mbeya, Athanas Kapunga(kulia) akimkabidhi Rose Maluila mashine ya kutengeneza Crips ya kisasa baada ya kufuzu kupata ruzuku za Safari Wezeshwa,makabidhiano hayo yalifanyika Viwanja vya CCM Iloma Mjini Mbeya mwishoni mwa wiki.Katikati ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo
Meya wa Manispaa ya Mbeya, Athanas Kapunga(kulia) akimkabidhi Benedict Matandiko Cherani za kisasa baada ya kufuzu kupata ruzuku za Safari Wezeshwa,makabidhiano hayo yalifanyika Viwanja vya CCM Iloma Mjini Mbeya mwishoni mwa wiki.Katikati ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...