Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, June 8, 2012

Waziri wa afya akiongea na waandishi wa habari kuhusu siku ya maadhimisho ya kuchangia damu


Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Hussein Mwinyi akiongea na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya siku ya wachangia damu Duniani yatakayofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro tarehe 14 Mwezi huu. Uchangia damu wa hiari umeongezeka toka chupa 52,000 kwa mwaka 2005 na kufikia  chupa 140,000 kwa mwaka 2011, kauli mbiu ya mwaka huu ni “kila mchangia damu ni shujaa”.  Kulia ni Naibu Waziri Dk. Seif Rashid. 
(PICHA NA ANNA NKINDA WA MAELEZO)
Baadhi ya waandishi wa Habari wakimsikiliza  Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Hussein Mwinyi (hayupo pichani) wakati akiongea nao kuhusu  maadhimisho ya siku ya wachangia damu Duniani yatakayofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro tarehe 14 Mwezi huu. Uchangia damu wa hiari umeongezeka toka chupa 52,000 kwa mwaka 2005 na kufikia  chupa 140,000 kwa mwaka 2011, kauli mbiu ya mwaka huu ni “kila mchangia damu ni shujaa”. 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...