Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, September 19, 2012

TIGO YAJA NA REACH FOR CHANGE, Wajasiriamali kufaidika na mpango huo.


Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Tigo Tanzania Diego Gutierrez akihutubia wakati wa mkutano uzinduzi rasmi wa kampeni ya “Tigo Reach for Change” yenye lengo la kuwekeza kwa wajasiriamali watakaotoa mawazo thabiti yatakayosaidia kuboresha maisha ya watoto.
Waziri wa Maendeleo ya jamii, jinsia na watoto Mh. Sophia Simba akiwapongeza Tigo kwa kuja na mpango huo ambao utasaidia kwenye kuboresha familia hususan kwenye lengo la malezi bora kwa watoto.
 Meneja mkuu wa kampuni ya Tigo kitengo cha huduma za jamii , Esther Palsgraaf akihutubia wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya “Tigo Reach for Change”
Wadau na waandishi wa Habari wakifuatilia kwa umakini hotuba iliyokuwa ikitolewa na mkurugenzi huyo wa Tigo Tanzania

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...