Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, September 25, 2012

WAANDISHI WA IPP WAPATA FREE PASS ZA MAMA AFRIKA SARAKASI

Watangazaji wa Capitar Radio n wakipongezana baada ya kuzawadiwa cad za kuingia katika maonesho ya Tigo Mama Africa Sarakasi kushoto ni Masta Tindwa na Amri Masare

Mkurugenzi wa Mancom Center Costantine Magavilla akizungumza na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu kuanza kwa maonesho ya Tigo Sarakasi Mama Afrika  yatakayofanyika kwenye kituo Cha Sanaa Cha Mwalimu Nyerere (New World Cinema) Mwenge jijini Dar es Salaam, kulia ni Mtaalamu wa Biashara na Masoko wa Tigo Gaudence Mushi na Afisa habari wa Tigo Alice Maro
Watangazaji wa Capitar Radio n wakipongezana baada ya kuzawadiwa cad za kuingia katika maonesho ya Tigo Mama Africa Sarakasi kushoto ni Masta Tindwa na Amri Masare

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...