Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, November 15, 2012

Rais Kikwete akutana na Sekretarieti mpya ya CCM Dodoma



Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(wapili kushoto) akizungumza na Makamu wa pili wa Rais Zanzibar Balozi Sefu Iddi,Makamu mpya wa CCM Bara Bwana Philip Mangula(watatu kushoto)pamoja na makamu wa CCM Bara aliyemaliza muda wake Bwana Pius Msekwa. (picha na Freddy Maro).
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na makamu mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein(kushoto) pamoja na Makamu mwenyekiti  mpya wa CCM Bara Ndugu Philip Japhet Mangula(kulia) ikulu ndogo mjini Dodoma leo asubuhi.


Mwenyekiti wa CCM Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo pamoja na Makamu mweyekiti mpya wa CCM Bara, Bwana Philip Mangula (Katikati) pamoja na Makamu Mwenyekiti Bara aliyemaliza muda wake Bwana Pius Msekwa ikulu ndogo mjini Dodoma leo.

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana  Katibu mkuu wa CCM aliyemaliza muda wake Dkt.Wilson Mukama ikulu ndogo mjini Dodoma leo asubuhi.Dkt.Mukama ameteuliwa kuwa mkuu wa Chuo cha Uongozi  cha CCM.

Mwenyekiti a CCM Dkt. Jakaya Mrisho  Kikwete akiwa na naibu Katibu mkuu mpya wa CCM Bwana Mwigulu Nchemba ikulu ndogo mjini Dodoma leo asubuhi.

Mwenyekiti wa CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu mpya wa oganaizesheni  ya CCM Bwana Mohamed Seif Khatib mjini Dodoma leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...