Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, December 20, 2012

DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA JENGO LA NYUMBA ZA MAKAZI YA WATUMISHIWA UMMA ZA ADA ESTASTE DAR, LEO.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es Salaam le.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuashiri uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es Salaam, kwenye hafla hiyo iliyofanyika leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo na kuonyeshwa Ramani ya Jengo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Elius Mwakalinga, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya sanamu la Kinyago cha Umoja, kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Elius Mwakalinga (kulia) na Mwenyekiti wake, Edward Ngwalle, (wa pili kulia) wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es Salaam, leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, wakati akiondoka eneo la Ada Estate, baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es Salaam, leo. PICHA NA OMR.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...