Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, December 29, 2012

UNIQUE MODEL OF THE YEAR 2012 APATIKANA USIKU HUU.


Mwanamitindo wa mwaka 2012 Catherine Masumbiga (katikati) amepatikana usiku huu kwenye shindano lililomalizika hivi punde kwenye Klabu ya New Maisha jijini Dar es Salaam akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa pili Cesilia Michael (kushoto) na mshindi watatu Amina Ayubu.
Mwanamitindo bora wa mwaka 2012 Catherine Masumbiga (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Unique Model Photogenic Elizabeth Pertty (kushoto) na Unique Model Talent Vestina Charles mara baada ya kutangazwa kwa mshindi.
Wanamitindo walioshiriki shindano hilo wakitoa burudani ya kucheza muziki mara ikiwa nii ufunguzi wa onyesho hilo.
Washiriki waliongia tano bora.
Majaji wa shindano hilo kutoka kushoto ni Gymkhana Hilal kutoka Paka Wear , Asia Idarous na Martine Kadinda.
Unique Model Talent of the year 2012 Vestina Charles akionyesha uwezowake wa kucheza jukwaani.
Washiriki 12 wa shindano hilo wakiwa wamejipanga tayari kusubiri kutangazwa mshindi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...