Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, March 21, 2013

WAFUASI 52 WA SHEIKH PONDA WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 3 JELA KILA MMOJA


Wafuasi wa Sheikh Ponda, walioandamana kwenda kwenye Ofisi za Mkurugenzi wa mashitaka (DPPO) kwa ajili ya kushinikiza Ponda apewe dhamana wakiwa kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Watuhumiwa hao wapatao 52, leo wamehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kila mmoja.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...