Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 27, 2014

JK AZINDUA KITUO KIKUBWA CHA KISASA CHA TIBA YA MARADHI YA MOYO DAR


 Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto) wakioneshwa moja ya vifaa vya kisasa vya kuchunguzia maradhi kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo April 27, 2014
: Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongea na mmoja wa wagonjwa watoto waliofanyiwa upasuaji kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo April 27, 2014
 Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto) wakiangalia baadhi ya wagonjwa waliofanyiwa upasuaji  kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo April 27, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi wakipata maelezo ya utendaji wa mashine katika chumba cha wagonjwa mahututi  kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo April 27, 2014

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...